Tofauti kati ya marekesbisho "Ncha ya kaskazini"

No change in size ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
(New page: thumb|350px|Ncha ya Kusini na Ncha Sumaku '''Ncha ya kaskazini''' ni mahali pa kaskazini kabisa duniani. Neno hili hutaja ama * ncha ya kijiografia ya kask...)
 
No edit summary
 
==Ncha ya kaskazini ya Kijiografia==
Ncha ya kaskazini ya kijiografia iko katikati ya [[Bahari ya AktikaAktiki]]. Ni mahali ambako mhimili wa kuzunguka kwa dunia unagusa uso wa dunia. Mahali hapa papo kwa [[anwani ya kijiografia]] ya 90°S na 0°W. Mtu anayesimama hapa anatazama upande wa kusini kwa namna yoyote hata akijizungusha.
 
Nchani [[bahari]] ina kina cha mita 4,087 m. Uso wa bahari umefunikwa hapa na ganda la [[barafu]] lenya unene wa mita 3-4. Msingi wa bahari nchani ulifikiwa mara ya kwanza mwaka 2007 na msafara wa kisayansi wa [[Urusi]] kwa kutumia [[nyambizi]].