Maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Selection on the ramp at Auschwitz-Birkenau, 1944 (Auschwitz Album) 1a.jpg #WPWP #WPWPTZ
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Selection on the ramp at Auschwitz-Birkenau, 1944 (Auschwitz Album) 1a.jpg|thumbnail|right|280px|Maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi Ulaya]]
{{makala nzuri sana}}
'''Maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya''' (pia [[Kiingereza]]/[[Kigiriki]]: '''Holocaust''', [[Kiebrania]] '''Shoah''' '''השואה''') yalikuwa mauaji ya [[Wayahudi]] milioni 5-6 wa [[Ulaya]] wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] kati ya 1940 na 1945. Mauaji haya yalipangwa na kutekelezwa na serikali ya [[Ujerumani]] chini ya [[Adolf Hitler]] kwa msaada wa serikali za nchi zilizofungamana na Ujerumani au zilizokuwa chini ya jeshi la Ujerumani.