Maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{makala nzuri sana}}
[[Picha:Liepaja December 1941 massacres 01.jpeg|300px|thumb|Kundi la wanawake Walatvia Wayahudi waliolazimishwa kuvua nguo na kusimama mbele ya kamera ya wanaSS kabla ya kuuawa mnnamo tarehe 16 Desemba 1941 kwenye mwambao wa Bahari Baltiki karibu na mji wa Liepaja, Latvia. Majina yao ni: Sorella Epstein, mamake Rosa Epstein, Mia Epstein, wawili hawakutambuliwa.]]
 
 
'''Maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya''' (pia [[Kiingereza]]/[[Kigiriki]]: '''Holocaust''', [[Kiebrania]] '''Shoah''' '''השואה''') yalikuwa mauaji ya [[Wayahudi]] milioni 5-6 wa [[Ulaya]] wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] kati ya 1940 na 1945. Mauaji haya yalipangwa na kutekelezwa na serikali ya [[Ujerumani]] chini ya [[Adolf Hitler]] kwa msaada wa serikali za nchi zilizofungamana na Ujerumani au zilizokuwa chini ya jeshi la Ujerumani.