Maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 68:
 
== Mwisho wa makambi ==
Mauaji katika makambi yalisimamishwa kwa sababu jeshi la Ujerumani lilianza kushindwa vitani likarudi nyuma. Jeshi la Umoja wa Kisoveyti likakaribia makambi ya mauti wakati wa majira ya baridi ya 1944/45. Wakuu wa SS walijaribu kuficha matendo yao ilivyowezekana. MahalaKuanzia pengimwisho wa 1943 makambi ndani ya Urusi na mashariki ya Poland yalibomolewa, mabaki ya maiti yalitolewa kwenye mashimo ya makaburi halafu kuchomwa na mifupa yalisagwa ilikuficha dalili zote za mauaji. Katika sehemu ambako makambi yaliendelea hadi 1945 wafungwa wenye afya walipelekwa kwa safari ndefu kwa miguu bila chakula na bila makoti katika baridi kali. Kila moja aliyeshindwa kutembea aliuawa. Wagonjwa walibaki katika makambi walipopatikana wakati Warusi walipofika. Walipofika Auschwitz tar. [[27 Januari]] [[1945]] meko ya kuchoma maiti bado yalikuwa moto. Watu waliendelea kufa hata baada ya uhuru wao kufika kwa sababu wengi walikuwa wadhaifu mno.
 
Wayahudi wachache walibaki au kurudi tena Poland au Ujerumani wangi waliondoka ama kwenda Marekani au nchi mpya ya Israel.
 
== Tanbihi==