Herufi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Herufi''' ni alama katika mwandiko unaofuata alfabeti. Kila herufi ni alama ya sauti au fonimu fulani kama vile A - B - C. . Kifinisia na Kigiriki zilikuwa lugha za kwa...
 
No edit summary
Mstari 5:
Muundo mwingine tena ni alama moja kwa neno moja jinsi ilivyo hadi leo katika Kichina. Faida ya herufi za alfabeti ni ya kwamba alama chache zinatosha kwa kuandika lugha yote. Katika mwandiko wa Kichina mwanafunzi anahitaji kujifunza alama mamia kabla hajaanza kuandika kitu.
 
Herufi zinazotumiwa zaidi duniani ni zile za [[alfabeti ya Kilatini]]. Alfabeti nyingine zinazotumiwa kimataifa ni hasa [[alfabeti ya Kiarabu]] na [[alfabeti ya Kikirili]]. Herufi zao zatofautiana kwa jumla ingawa kuna pia herufi zinazofanana katika kundi la alfabeti. Kwa mfano alfabeti za Kilatini na Kikirili zote zimetokana na [[alfabeti ya Kigiriki]].
Herufi zinazotumiwa zaidi duniani ni zile za [[alfabeti ya Kilatini]].
 
Vilevile alfabeti ya Kiarabu ina herufi za nyongeza ikitumiwa kwa kuandika lugha kama [[Kiajemi]], [[Kiurdu]] au [[lugha za Kiturki]].