Melilla : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+Vista_de_Melilla_7.jpg #WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha: Vista_de_Melilla_7.jpg|thumbnail|right|280px| Kisiwa cha Melilla]]
[[Picha:Melilla mji.PNG|thumb|right|300px|Ramani ya mji wa Melilla]]
'''Melilla''' (tamka: me-li-ya; kwa [[Kiarabu]]: '''مليلية''', Meliliya; jina rasmi: Ciudad Autónoma de Melilla = Mji wa kujitawala wa Melilla) ni [[mji]] wa [[Hispania]] kwenye [[pwani]] ya [[Mediteranea]] unaozungukwa na eneo la [[Moroko]] upande wa bara. Umbali na Hispania bara ni takriban [[km]] 170 kuvuka [[bahari]]. Mji ulio karibu upande wa Moroko ni [[Nador]] kwenye umbali wa km 15.