Siku ya kimataifa ya lugha ya alama : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Siku ya kimataifa ya lugha ya alama duniani''' (kwa Kiingereza ''International Day of Sign Languages (IDSL)'' ) husherehekewa tarehe 23 mwezi [[Septemba]...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:IDSL_Logo.png|thumbnail|right|200px|Nembo ya Siku ya Lugha ya Alama Duniani]]
'''Siku ya kimataifa ya lugha ya alama duniani''' (kwa [[Kiingereza]] ''International Day of Sign Languages (IDSL)'' ) husherehekewa tarehe 23 mwezi [[Septemba]] kila mwaka ikiambatana na [[wiki ya viziwi duniani]].
Kuachaguliwa kwa tarehe 23 mwezi Sepmtemba kunaendana moja kwa moja na tarehe ya kuanzishwa kwa shirikisho la wasiosikia duniani ''World Federation of the Deaf'' lililoanzishwa mwaka [[1951]] . <ref>{{Cite web | url = https://wfdeaf.org/news/un-23-sept-as-international-day-of-sign-languages | title = United Nations declared 23 September as International Day of Sign Languages - WFD | publisher=WFD | access-date = 2017-12-24}}</ref><ref>{{Cite web | url = https://www.un.org/press/en/2017/gashc4221.doc.htm | title = Third Committee Approves 16 Drafts with Friction Exposed in Contentious Votes on Glorification of Nazism, Cultural Diversity, Right to Development ! Meetings Coverage and Press Releases | publisher = UN | access-date = 2017-12-24}}</ref>