Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d +image #WPWP,#WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:IATAlogo.svg|thumb|Nembo ya shirika la kimataifa la usafiri wa Anga]]
'''Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga''' (kwa [[Kiingereza]]: '''International Air Transport Association - IATA''') ni [[umoja]] wa kimataifa wa [[kampuni]] za [[usafiri]] kwa [[Ndege (uanahewa)|ndege]]. [[Makao makuu]] yake yako [[Montreal]], [[Quebec]] nchini [[Kanada]] ambako kuna pia makao makuu ya [[Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa Kiraia]] (International Civil Aviation Organization).