Kaizari Karoli V : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+Elderly Karl V.jpg #WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Elderly Karl V.jpg|thumbnail|right|280px|Kaizari Karoli V]]
'''Karoli V''' (pia: '''Carlos I wa Hispania'''<ref>Karoli, Carlos, Karl, Charles, Carlo, ni maumbo tofauti ya [[jina]] lilelile la asili ya [[Kigermanik]] katika [[lugha]] mbalimbali za [[Ulaya]]</ref>; [[24 Februari]] [[1500]] &ndash; [[21 Septemba]] [[1558]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola Takatifu la Kiroma]]<ref>Dola Takatifu la Kiroma lilikuwa jina la milki iliyounganisha [[Ujerumani]], [[Uholanzi]], [[Ubelgiji]] pamoja na maeneo kadhaa ya [[Italia]], [[Ufaransa]] na [[Ucheki]] wa leo katika [[enzi ya kati]] hadi [[1806]].</ref> kuanzia [[1519]] hadi kujiuzulu mwezi wa Septemba [[1556]].