Anfield : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+Panorama_of_Anfield_with_new_main_stand_(29676137824).jpg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha: Panorama_of_Anfield_with_new_main_stand_(29676137824).jpg|thumbnail|right|280px|Anfield]]
'''Anfield''' ni [[uwanja]] wa [[mpira wa miguu]] uliopo huko [[Anfield, Liverpool]]. Anfield ni uwanja wa [[timu]] ya [[Liverpool F.C.]]. Uwanja huu una uwezo wa kubeba [[watu]] 54,074 na kuufanya kuwa uwanja wa [[sita]] kwa ukubwa [[Uingereza]].