Chiapas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 67 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q60123 (translate me)
image
Mstari 1:
[[Picha:Mexico stateflags Chiapas.png|thumb|Bendera ya Chiapas]]
[[Picha:Mexico map, MX-CHP.svg|thumb|Mahali pa Chiapas katika [[Mexiko]]]]
'''Chiapas''' (jina rasmi: ''Estado Libre y Soberano de Chiapas''; [[Kiswahili]]: dola huru la kujitawala la Chiapas) ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexiko]]. Ni jimbo kwenye ncha ya kusini ya
[[Picha:Chiapas_montaje.jpg|thumb|Chiapas ]]
nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni [[Tuxtla Gutiérrez, Chiapas|Tuxtla Gutiérrez]].
 
Imepakana na [[Oaxaca (jimbo)|Oaxaca]], [[Tabasco (jimbo)|Tabasco]], [[Veracruz (jimbo)|Veracruz]] na nchi ya [[Guatemala]]. Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 4,293,459. Eneo la jimbo ni 74,211 [[Kilomita ya mraba|km²]].