Content deleted Content added
Mstari 62:
<br/>
Sawa Ndungu. Ahsante '''[[Mtumiaji:Czeus25 Masele|Czeus25 Masele]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Czeus25 Masele#top|majadiliano]])''' 07:26, 13 Aprili 2020 (UTC)
 
==Kukaribisha wageni==
Asante kwa kushiriki katika kukaribisha wageni. Nashukuru ukiendelea. Ila tu usisahau kutia sahihi kwa kuingiza yafuatayo: '''<nowiki>{{karibu}}~~~~ </nowiki>'''. Sahihi yako ambayo ni sehemu '''<big><nowiki>~~~~ </nowiki></big>''' inakuja pamoja na tarehe. Hii inatusaidia kujua baadaye ni lini kwamba mchangiaji amekaribishwa na kuelezwa kanuni zeti; ni msaada hada tukilazimishwa kuchukua hatua dhidi ya mchangiaji: je aliweza kujua utaratibu kwa sababu amekaribishwa tayari au bado? '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 23:27, 31 Julai 2020 (UTC)