Mchikichi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
{{Uainishaji| rangi = lightgreen| jina = Mchikichi <br> ''Elaeis guineensis| picha = Koeh-056.jpg| upana_wa_picha = 250px| maelezo_ya_picha = [[Mchikichi]]| himaya = [[Planta]] (mimea)| faila = [[Magnoliophyta]] (mimnea yenye maua)| ngeli = [[Liliopsida]] | oda = [[Arecales]] | familia = [[Arecaceae]] | jenasi = '''''Elaeis'''''|spishi = ''Elaeis guineensis''<br/>''Elaeis oleifera''<small> [[Nikolaus Joseph von Jacquin|Jacq.]] }}
 
'''Mchikichi''' ('''Elaeis guineensis''') ni kati ya [[miti]] iliyo muhimu zaidi kiuchumi. Matunda yake huleta [[mawese]] ambayo hutumika sana kama [[mafuta ya kupikia]], kwa ajili ya madawa mbalimbali na siku hizi pia kama [[diseli]].
 
Mti unakua hadi kimo cha m. 30. Matunda yake ni madogo yakiwa pamoja kwa shingo. Jumla ya mti mmoja laweza kufikia 50 KG. Matunda haya huharibika haraka hivyo ni muhimu kuyashughulika mara moja baada ya mavuno.