Tofauti kati ya marekesbisho "Clifford Shull"

80 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
#WPWP#WPWPTZ
d (Bot: Migrating 37 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q201506 (translate me))
(#WPWP#WPWPTZ)
 
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Wollan and Shull 1949.jpg|thumbnail|right|200px|Clifford Shull, kulia]]
 
'''Clifford Shull''' ([[23 Septemba]] [[1915]] - [[31 Machi]] [[2001]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza sehemu za [[atomu]]. Mwaka wa [[1994]], pamoja na [[Bertram Brockhouse]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.