Tofauti kati ya marekesbisho "Joseph Taylor"

78 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
#WPWP#WPWPTZ
d (Bot: Migrating 38 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q192685 (translate me))
(#WPWP#WPWPTZ)
 
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:2008JosephTaylor.jpg|thumbnail|right|200px|Joseph Taylor mwaka 2008]]
 
'''Joseph Hooton Taylor, Jr.''' (amezaliwa [[29 Machi]] [[1941]]) ni mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza aina fulani ya nyota zinazosaidia kueleza nguvu za [[mvutano]]. Mwaka wa [[1993]], pamoja na [[Russell Alan Hulse]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.