Tofauti kati ya marekesbisho "Russell Hulse"

74 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
#WPWP#WPWPTZ
d (Bot: Migrating 36 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q156286 (translate me))
(#WPWP#WPWPTZ)
 
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:HD.3A.054 (10541035993).jpg|thumbnail|right|200px|Russell Hulse]]
 
'''Russell Alan Hulse''' (amezaliwa [[28 Novemba]] [[1950]]) ni mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa anajulikana kwa kugundua aina fulani ya nyota iitwayo "binary pulsar" kwa Kiingereza. Mwaka wa [[1993]], pamoja na [[Joseph Taylor]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.