Tofauti kati ya marekesbisho "Jerome Friedman"

96 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
#WPWP#WPWPTZ
d (Bot: Migrating 40 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q187822 (translate me))
(#WPWP#WPWPTZ)
 
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Physics Nobel laureate Jerry Friedman, 2016.jpg|thumbnail|right|200px|Jerome Friedman]]
 
'''Jerome Isaac Friedman''' (amezaliwa [[28 Machi]] [[1930]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Alipokuwa mwanafunzi katika chuo kikuu cha [[Chicago]], alifanya kazi chini ya [[Enrico Fermi]]. Hasa alichunguza [[atomu]] na mfumo wake. Mwaka wa [[1990]], pamoja na [[Henry Kendall]] na [[Richard Taylor]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.