Tofauti kati ya marekesbisho "Edmond Fischer"

86 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
#WPWP#WPWPTZ
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Edmond Fischer''' (amezaliwa 6 Aprili, 1920) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uswisi. Tangu 1950 aliishi nchini [...')
 
(#WPWP#WPWPTZ)
 
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Edmond Fischer Nobel Laureate 1992.jpg|thumbnail|right|200px|Edmond Fischer]]
 
'''Edmond Fischer''' (amezaliwa [[6 Aprili]], [[1920]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Uswisi]]. Tangu 1950 aliishi nchini [[Marekani]]. Hasa alichunguza [[protini]] na kazi yake ndani ya [[seli]]. Mwaka wa [[1992]], pamoja na [[Edwin Krebs]], alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.