William Moerner : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''William Esco Moerner''' (amezaliwa 24 Juni, 1953) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mam...'
 
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:WE_Moerner.jpg|thumbnail|right|200px|William Moerner]]
 
'''William Esco Moerner''' (amezaliwa [[24 Juni]], [[1953]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza mambo ya [[hadubini]] kwa ajili ya kuonekanisha [[molekuli]] moja peke yake. Mwaka wa [[2014]], pamoja na [[Stefan Hell]] na [[Eric Betzig]], alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.