Tofauti kati ya marekesbisho "Henri La Fontaine"

70 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
#WPWP#WPWPTZ
d (Baba Tabita alihamisha ukurasa wa H. La Fontaine hadi Henri La Fontaine: jina kamili)
(#WPWP#WPWPTZ)
 
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:HenriLaFontaine.jpg|thumbnail|right|200px|Henri La Fontaine]]
 
'''Henri La Fontaine''' ([[22 Aprili]], [[1854]] hadi [[14 Mei]], [[1943]]) alikuwa mwanasheria kutoka nchi ya [[Ubelgiji]]. Hasa amejulikana kama mkurugenzi wa [[Ofisi ya Amani ya Kimataifa]]. Mwaka wa [[1913]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''.