Tofauti kati ya marekesbisho "Tawakel Karman"

77 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
#WPWP#WPWPTZ
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Tawakkol Abdel-Salam Karman''' (amezaliwa 7 Februari, 1979 mjini Mekhlaf) ni mwanasiasa na mwandishi wa habar...')
 
(#WPWP#WPWPTZ)
 
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Tawakkol Karman (2019) II.jpg|thumbnail|right|200px|Tawakel Karman]]
 
'''Tawakkol Abdel-Salam Karman''' (amezaliwa [[7 Februari]], [[1979]] mjini [[Mekhlaf]]) ni mwanasiasa na mwandishi wa habari kutoka nchi ya [[Yemen]]. Jina lake pia huandikwa '''Tawakel''' katika [[alfabeti ya Kilatini]]. Mwaka wa [[2011]], pamoja na [[Ellen Johnson Sirleaf]] na [[Leymah Gbowee]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''.