John Pople : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 34 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q233973 (translate me)
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:John Anthony Pople.png|thumbnail|right|200px|John Pople]]
 
'''Sir John Anthony Pople''' ([[31 Oktoba]] [[1925]] – [[15 Machi]] [[2004]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Hasa alichunguza [[nadharia ya kwanta]]. Mwaka wa [[1998]], pamoja na [[Walter Kohn]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.