Michael Smith : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 36 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q232289 (translate me)
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Michaelsmith.jpg|thumbnail|right|200px|Michael Smith]]
 
'''Michael Smith''' ([[26 Aprili]] [[1932]] – [[4 Oktoba]] [[2000]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Baadaye alihamia [[Kanada]]. Hasa alichunguza taaluma ya [[jenetiki]] na sifa za [[protini]]. Mwaka wa [[1993]], pamoja na [[Kary Mullis]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.