Johann Deisenhofer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 31 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q76612 (translate me)
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Photosynthetic Reaction Center Drawing.png|thumbnail|right|200px|mchoro wa usanisinuru katika utando]]
 
'''Johann Deisenhofer''' (amezaliwa [[30 Septemba]] [[1943]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Ujerumani]] akiwa amefanya kazi nchini [[Marekani]] tangu mwaka wa 1988. Hasa alichunguza [[elimu ya fuwele]]. Mwaka wa [[1988]], pamoja na [[Robert Huber]] na [[Hartmut Michel]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.