Kenichi Fukui : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 32 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q217734 (translate me)
#WPWP#WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Kenichi_Fukui.jpg|thumbnail|right|200px|Kenichi Fukui]]
 
'''Kenichi Fukui''' ([[4 Oktoba]] [[1918]] – [[9 Januari]] [[1998]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Japani]]. Hasa alichunguza mizunguko ya sehemu za [[atomu]] katika athari za kikemia. Mwaka wa [[1981]], pamoja na [[Roald Hoffman]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.