John Mott : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 31 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q159726 (translate me)
#WPWP#WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:John Raleigh Mott.jpg|thumbnail|right|200px|John Mott]]
 
'''John Raleigh Mott''' ([[25 Mei]] [[1865]] – [[31 Januari]] [[1955]]) alikuwa kiongozi wa [[YMCA]] na mashirikia mengine ya [[Ukristo|kikristo]] kutoka nchi ya [[Marekani]]. Kuanzia mwaka wa 1895 hadi 1920 alikuwa katibu mkuu wa [[Chama cha Wanafunzi Wakristo Duniani]]. Mwaka wa 1910, aliongoza [[Mkutano wa Misheni Duniani]] mjini [[Edinburgh]]. Mwaka wa [[1946]], pamoja na [[Emily Balch]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]''' kwa ajili ya kazi yake ya kuanzisha na kuimarisha jumuiya za wanafunzi kwa ajili ya amani duniani.