Papa Silvester I : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sylvester I and Constantine.jpg|thumb|right|Papa Silvesta I na [[Kaisari]] [[Konstantino Mkuu]].]]
'''Papa Silvester I''' alikuwa [[papaPapa]] kuanzia [[tarehe]] [[31 Januari]], [[314]] hadi [[kifo]] chake tarehe [[31 Desemba]], [[335]].
 
Alimfuata [[Papa Miltiades]] akafuatwa na [[Papa Marko]].
 
[[Mtoto]] wa Rufinus, mkazi wa [[Roma]], hatuna habari nyingi za [[maisha]] yake. Ila ni kwamba aliongoza [[Kanisa Katoliki]] kwa [[muda]] mrefu mara baada ya [[Kaisari]] [[Konstantino Mkuu]] kulipatia [[uhuru wa dini]] na kulijengea [[maabadi]] mengi, makubwa na mazuri.
 
Wakati wake ulifanyika [[mtaguso mkuu]] [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea|wa kwanza]] ([[Nisea]], leo nchini [[Uturuki]], [[325]]). Yeye hakuhudhuria, ila alituma wajumbe wawili akathibitisha maamuzi yaliyofikiwa.
 
Tangu kale anaheshimiwa klama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake<ref>''Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum'', Romae 2001, ISBN 8820972107</ref>.
 
==Tazama pia==
Line 16 ⟶ 20:
==Maandishi yake==
*[http://www.documentacatholicaomnia.eu/01_01_0314-0335-_Silvester_I,_Sanctus.html Opera Omnia katika [[mkusanyo]] wa [[Migne]]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
Line 21 ⟶ 28:
*[http://www.newadvent.org/cathen/14370a.htm Kuhusu Papa Silvester I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki]
*[http://www.catholicrevelations.com/category/saints/the-life-of-st-silvester-or-saint-sylvester-the-pope-who-slayed-a-dragon.html Maisha yake]
 
{{mbegu-Papa}}
{{Mapapa}}
{{mbegu-Papa}}
{{DEFAULTSORT:Silvesta I}}
[[Jamii:Waliozaliwa karne ya 3]]
 
[[Jamii:Papa]]
[[Jamii:Waliofariki 335]]