John Vane : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q309971 (translate me)
#WPWP#WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:John Robert Vane.jpg|thumbnail|right|200px|John Vane]]
 
'''John Robert Vane''' ([[29 Machi]] [[1927]] – [[19 Novemba]] [[2004]]) alikuwa mtaalamu wa madawa kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Hasa anajulikana kwa kuchunguza athiri za [[aspirin]] kwa [[tezi kibofu]]. Mwaka wa [[1982]], pamoja na [[Sune Bergström]] na [[Bengt Samuelsson]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.