Tofauti kati ya marekesbisho "David Hubel"

55 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
#WPWP#WPWPTZ
d (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q295644 (translate me))
(#WPWP#WPWPTZ)
 
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:DHUBEL.jpg|thumbnail|right|200px|David Hubel]]
 
'''David Hunter Hubel''' (amezaliwa [[27 Februari]] [[1926]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Kanada]]. Baadaye alihamia na kufanya kazi nchini [[Marekani]]. Hasa alichunguza jinsi habari za macho zinazofikishwa ubongoni. Mwaka wa [[1981]], pamoja na [[Roger Sperry]] na [[Torsten Wiesel]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.