Papa Liberius : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Liberius.jpg|thumb|right|200px|Papa Liberius.]]
'''Papa Liberius''' alikuwa [[papaPapa]] kuanzia [[tarehe]] [[17 Mei]] [[352]] hadi [[kifo]] chake tarehe [[24 Septemba]] [[366]].
 
Alimfuata [[Papa Julius I]] akafuatwa na [[Papa Damaso I]].
 
Liberius ni papaPapa wa kwanza ambaye haheshimiwi kama [[mtakatifu]].
 
==Maoni ya mapapaMapapa juu yake==
*[[Papa Pius IX]] katika hati ''Quartus Supra'' aliandika kwamba Liberius alisingiziwa na [[Waario]] na alikataa kumlaani [[Atanasi wa Aleksandria]]. [http://www.ewtn.com/library/encyc/p9quartu.htm]
*[[Papa Benedikto XV]] katika hati ''Principi Apostolorum Petro'' aliandika kwamba Liberius alikubali kupelekwa uhamishoni ili atetee [[imani sahihi]] ya [[Kanisa]]. [http://www.vatican.va/holy_father/benedict_xv/encyclicals/documents/hf_ben-xv_enc_05101920_principi-apostolorum-petro_en.html]
Mstari 12:
== Viungo vya nje ==
*[http://www.newadvent.org/cathen/09217a.htm Kuhusu Papa Liberius katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki]
* [http://www.fourthcentury.com/index.php/liberius-regesta Translation of Jaffe-Kaltenbrunner's Register of the Roman Pontiff.]
 
{{mbegu-Papa}}
{{Mapapa}}
{{mbegu-Papa}}
 
{{DEFAULTSORT:Liberius}}