Roger Sperry : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 34 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q232305 (translate me)
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Roger Wolcott Sperry.jpg|thumbnail|right|200px|Roger Sperry]]
 
'''Roger Wolcott Sperry''' ([[20 Agosti]] [[1913]] – [[17 Aprili]] [[1994]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza mbinu za upasuaji wa [[ubongo]]. Mwaka wa [[1981]], pamoja na [[David Hubel]] na [[Torsten Wiesel]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.