Ferdinand-Edouard Buisson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 32 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q273607 (translate me)
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Ferdinand Buisson 1932cr.jpg|thumbnail|right|200px|Ferdinand-Edouard Buisson]]
 
'''Ferdinand Édouard Buisson''' ([[20 Desemba]] [[1841]] – [[16 Februari]] [[1932]]) alikuwa mtaalamu, mwanasiasa na mchungaji wa Kiprotestanti kutoka nchi ya [[Ufaransa]]. Nchini kwake, alijitahidi hasa kwa ajili ya elimu ya msingi. Mwaka wa [[1927]], pamoja na [[Ludwig Quidde]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''.