Jimbo Katoliki la Mpanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Kikanisa linahusiana na [[Jimbo Kuu la Tabora]].
 
[[Tarehe]] [[21 Desemba]] [[2018]] [[Askofu]] wake [[Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga]] alipandishwa [[cheo]] kuwa [[askofu mkuu]] wa [[Jimbo Kuu la Mbeya|Mbeya]].

Badala yake tarehe [[13 Mei]] [[2020]] ameteuliwa askofu [[Eusebius Alfred Nzigilwa]], ambaye kwa miaka 10 alikuwa [[askofu msaidizi]] wa [[Jimbo Kuu la Dar es Salaam]]. Ametawazwa tarehe [[2 Agosti]] 2020.
 
==Historia==