Yai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
fix lint error
d #WPWP,#WPWPTZ
 
Mstari 2:
'''Yai''' ni njia ya [[mnyama|wanyama]] jinsi wanavyozaa kama vile [[ndege]], [[reptilia]], [[samaki]] na [[mdudu|wadudu]] wengi. Mayai ya [[mamalia]] na wanyama wengine kadhaa hukua ndani ya mwili, katika [[uterasi]] kwa kawaida.
 
Ni seli kutokaambayo hutokana na kiumbe jike, ikiungana na seli ya dume ni chanzo cha kiumbe kipya au mtoto. Kwa wanayama kama mamalia wengi seli hii inaweza kubaki ndani ya mwili na kuendelea humo.
 
Kwa lugha ya kawaida ni seli ile chaya chanzo pamoja na akiba ya lishe kwa ajili ya kipindi cha kwanza katika maisha ya kiumbe kipya inayotegwa na mnyama nje ya mwili ili kiumbe kipya au mtoto aendelee huko hadi pindi atakapo kuwa yuko tayari kutoka kwenye yai. Mayai huwa na ganda ya kulinda maisha mapya ya kiumbe ndani yake.
 
Kutokana na kiwango cha [[proteini]], [[mafuta]] na [[vitamini]] ya lishe ndani yake, mayai hutafutwa kama [[chakula]] na wanyama na pia na binadamu.
 
<gallery>