Yohane Maria Vianney : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Johnvianney.jpg|140px|thumb|Mtakatifu Yohane Baptista Maria Vianney.]]
[[Image:Jean-Marie Vianney.jpg|250px|thumb|[[Maiti]] isiyooza ya Yohane Maria Vianney.]]
 
'''Yohane Baptista Maria Vianney''' ([[Dardilly]], [[8 Mei]] [[1786]] – [[Ars-sur-Formans]], [[4 Agosti]] [[1859]]), alikuwa [[padri]] [[mwanajimbo]] wa [[Kanisa Katoliki]] kutoka [[Ufaransa]]; kwa miaka mingi alifanya kazi ya [[uchungaji]] kama [[paroko]] wa [[kijiji]] cha Ars, huku sifa zake zikivuta watu kutoka nchi za nje ya [[Ulaya]] pia.
 
Alitangazwa na [[Papa Pius X]] kuwa [[mwenye heri]] [[tarehe]] [[8 Januari]] [[1905]], halafu [[Papa Pius XI]] akamtangaza [[mtakatifu]] mwaka [[1925]] na [[msimamizi]] wa maparoko mwaka [[1929]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya [[kifo]] chake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Sala zake==
Line 28 ⟶ 29:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==