Msaada:Picha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 80:
 
====Picha zangu?====
Hii ni sawa kama hakuna haki za wale wanaoonyeshwa kwenye picha hii (au haki ya kile kinachoonyehswa, mfano picha ya taswira). Fuata maelezo ya juu "Katika makala za en:wikipedia" yaani hifadhi kwanza kwenye kompyuta yako halafu pakia. Kwenye nafasi ya hatimiliki utachagua "Own work, all rights eleased". Kwenye nafasi ya maelezo utaandika umechukua picha wapi na lini na kwa nini hakuna haki wa wale wanaoonekana (kwa mfano: wamekubali, au: ni picha ya barabarani).
 
Lakini tahadhari: usishangae ukiulizwa tena - maswali yale hayawezi kuelezwa hapa katika mistari miwili!