Reli ya SGR ya Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Jcornelius (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Olimasy
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:SGR System in Kenya.jpg|thumb|200px300px|Reli ya SGR huko kenyaKenya]]
'''Reli ya SGR ya Kenya''' ni mfumo mpya wa [[reli]] nchini [[Kenya]] kati ya [[miji]] wa [[Mombasa]] na [[Nairobi]] unaotumia [[geji sanifu]] (kwa [[Kiingereza]]: standard gauge). Reli hiyo ni mradi mkubwa wa [[miundombinu]] tangu [[uhuru]] [[mwaka]] [[1963]]. Ilijengwa na [[kampuni]] ya China Road and Bridge Corporation kwa kutumia wajenzi kutoka [[China]] pamoja na Wakenya 25,000 katika muda wa miaka mitatu hadi mwaka [[2016]].<ref>{{Cite web|url=https://www.the-star.co.ke/counties/2016-12-03-funds-for-sgr-phase-ii-to-be-in-by-january-2016-assures-state/|title=Funds for SGR phase II to be in by January 2016, assures state|language=en-KE|work=The Star|accessdate=2019-04-15}}</ref>
 
Mstari 38:
=== Kuongeza nafasi za kazi ===
[[Ujenzi]] wa reli ya Standard Gauge ya Kenya umeongeza nafasi za [[kazi]] kwa watu [[elfu]] [[ishirini na tano]] Wakenya kulingana na [[mkataba]] kati ya serikali ya Kenya na makandarasi ya China.<ref>{{Cite web|url=http://www.chinadaily.com.cn/a/201806/19/WS5b29143aa3104bcf48c155b4.html|title=Chinese-built Kenya railway on track - World - Chinadaily.com.cn|author=刘明|work=www.chinadaily.com.cn|accessdate=2019-04-15}}</ref> [[Vijana]] wenyeji wengi wamepata seti mpya ya [[ujuzi]] kutokana na mradi huu. Inawezekana kwamba vijana wa Kenya wanaweza kupata kazi nzuri baada ya kukamilishwa kwa ujenzi wa reli kwa sababu ya ujuzi ambao walisoma. Reli ya kisasa itaongeza kazi, kama wahudumu katika treni, na wauzaji katika stesheni.
[[Picha:Passengers at Nairobi Terminus SGR station, 06-06-2017.jpg|thumb|300px|Treni ya SGR kwenye kituo cha Nairobi]]
 
=== Maendeleo ya uchumi ===
Reli ya SGR ya Kenya, bila shaka, itakuwa na manufaa ya muda mrefu kwa [[uchumi]] wa Kenya. Itaongeza usafiri wa watu na vitu kati ya miji mingi katika Kenya. Uchumi wa miji ambayo pamoja na mistari wa reli utakuwa na [[maendeleo]]. Ni muhumu zaidi kwamba reli ya SGR ya Kenya itaweza kuunganisha miji mikuu wa nchi nyingine katika [[Afrika mashariki]].