Akwa Ibom (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q424388 (translate me)
+Akwa_Ibom_state_contingent_3.jpg #WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Akwa_Ibom_state_contingent_3.jpg|thumbnail|right|200px|Utamaduni wa ngoma za Akwa Ibom, Nigeria]]
[[Picha:Jimbo Akwa Ibom Nigeria.png|thumb|right|300px|Mahali pa Akwa Ibom katika [[Nigeria]]]]
'''Akwa Ibom''' ni jimbo la kujitawala la [[Nigeria]] lenye eneo la 7,081 km² na wakazi milioni 4,8 (2005). Mji mkuu ni [[Uyo]] na mji mkubwa jimboni ni [[Ikot Ekpene]] mwenye wakazi 254,821 (2005).