Msaada:Picha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Picha''' zinapendezesha., Silakini si mapambo tu kwa ajili ya makala, bali zinasaidia pia kuelewa jambo vizuri zaidi jambo linajojadiliwa katika makala. Ukurasa huu unakusaidia kuchagua na kuingiza picha katika makala.
 
Ujue ya kwamba tunatumia pekee picha kutoka [[:commons:Main_Page|Wikimedia Commons]]. tu. Ni marufuku kutumia picha "kutoka intaneti", google au social[[mitandao mediaya kijamii]].
 
==Viungo vya picha==
Picha au michoro huonekana katika makala kwa njia ya viungo. Ili picha ionekane lazima kwanza faili yake iwepo katika kumbukumbu ya wikipediaWikipedia. Hapa kuna njia 2:
:1) kutumia akiba kubwa sana ya faili za picha huria zilizopo tayari katika kumbukumbu ya '''sw.wikipedia.org''' au '''commons.wikimedia.org''' au
:2) kupakia faili ya picha kutoka [[kompyuta]] yako. Kwa kupakia unaingiza picha hiihiyo katika kumbukumbu ya wikipediaWikipedia. Kabla ya kufanya hiihiivyo sharti kuhakikisha ya kwamba una haki ya kufanya vile. (tazama chini: wapi kuchukua picha za kupakiza).
[[Picha:Coat of arms of Tanzania.svg|thumb|200px|Nembo ya Tanzania 250px <br /><sup>maandishi ya kiungo chake ni <br /><nowiki>Picha:Coat of arms of Tanzania.svg|thumb|200px|Nembo ya Tanzania 250px</nowiki></sup>]]
 
Mstari 20:
[[Picha:Coat of arms of Tanzania.svg|thumb|150px|left|<small><nowiki>Tofauti hapa ni yafuatayo: thumb|100px|left| inayopeleka picha upande mwingine</nowiki></small>]]
:'''4''' sehemu 4 '''MAELEZO''': Kama unaandika maelezo jinsi unavyopenda lakini usiandike maelezo marefu mno!
 
 
====Picha upande wa kushoto====
Mfumo wa "thumb" unaweka picha upande wa kulia. Ukitaka ionekane upande wa kushota uningiza "'''left|'''" kama sehemu ya 5 ndani ya maandishi ya kiungo kabla ya maelezo.
 
====MkusanyikoMkusanyo wa picha (gallery)====
Wakati mwingine inafaa kuingiza mkusanyikomkusanyo wa picha kuhusu mada fulani. Linganisha makala ya [[Tongoni]].
 
Hapa tunatumia alama hizi (unaweza kukopikunakili sehemu hii na kuitumia katika dirisha la "Hariri chanzo", kwa kuweka majina na maelezo yenyewe)
'''<source lang="xml">
<gallery>
Line 41 ⟶ 40:
==Wapi kupata picha==
 
===Picha za wikipediaWikipedia===
Yaliyomo yote yakatika wikipediaWikipedia pamoja na picha yamwekwayamewekwa kwenye uwanja wa umma, yamekuwa mali ya umma. Uko huru kutumia yote yaliyopoyaliyomo kwenye miradi ya wikipediaWikipedia.
 
====Katika makala nyingine====
Ukiona picha kwenye makala menginenyingine ya sw:wikipedia, au kwa mfano katika makala ya Kiingereza unayotafsiri, unaweza kunakili kiungo chake.
::#Bofya "hariri"
::#Tafuta kiungo cha picha unayotaka; nakili kiungo chote (au jina la picha pekee pamoja na nyongeza kama vile ".jpg")
Line 53 ⟶ 52:
 
====Katika makala za en:wikipedia====
Watumiaji wengi watachungulia pia wikipediaWikipedia ya Kiingereza na kuona picha huko. Hapa kuna aina mbili za picha:
::#Picha kutoka Commons.wikimedia: hii ni kumbukumbu kubwa sana ya [[wikimedia]] na jina la faili hapa inasomeka katika miradi yote ya wikimedia pamoja na wikipedia pia kwetu.
::#Picha inayopatikana katika wikipedia ya Kiingereza tu. Picha hii haitaonesha mpaka umeichukua na kuingiza katika wikipedia yetu.
Line 69 ⟶ 68:
:#hapa angalia chini kabisa utaona kasanduku inayosema Categories (mfano wetu: Categories: Coats of arms of Tanzania | Fire and containers in heraldry .....). Hapa unaingia na utaona mifano mingine (kama ipo).
 
===Picha kutoka nje ya wikipediaWikipedia?===
Hapa lazima kuwa kiangalifuwaangalifu maana katika wikipediaWikipedia hatutaki matatizo ya kisheria. Tunaheshimu hatimiliki za picha!
 
====Kutoka google-search?====
'''Hapana!''' Kwa kawaida picha zinazopatikana kwa njia ya googleGoogle hazifai wa sababu hatimiliki si huru. Haikubaliki kwenye wikipediaWikipedia. Isipokuwa kama picha kwa hakika ina umri mkubwa na wote wenye haki za picha wameshakufa tangu miaka 70. Tazama chini!
 
====Mali ya umma ?====
Angalia ukurasa huu katika en:wikipedia wanapoorodhesha picha ambazo zimekuwa mali ya umma:
[http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Public_domain_image_resources Public Domain Image resources]
 
====Picha zangu?====
Hii ni sawa kama hakuna haki za wale wanaoonyeshwa kwenye picha hii (au haki ya kile kinachoonyehswakinachoonyeshwa, mfano picha ya taswira). Fuata maelezo ya juu "Katika makala za en:wikipedia" yaani hifadhi kwanza kwenye kompyuta yako halafu pakia. Kwenye nafasi ya hatimiliki utachagua "Own work, all rights eleased". Kwenye nafasi ya maelezo utaandika umechukua picha wapi na lini na kwa nini hakuna haki wa wale wanaoonekana (kwa mfano: wamekubali, au: ni picha ya barabarani).
 
Lakini tahadhari: usishangae ukiulizwa tena - maswali yale hayawezi kuelezwa hapa katika mistari miwili!
Line 87 ⟶ 86:
*Tahadhari: kuhusu majengo, sanamu, au kazi za sanaa kwa jumla (angalia hapa [[:Commons:Freedom_of_panorama]]; sheria za Tanzania bara, Zanzibar, Uganda na Kenya zinatofautiana, angalia [[:Commons:Copyright_rules_by_territory/Tanzania]], [[:Commons:Copyright_rules_by_territory/Kenya]], n.k.
 
===Kupakia Pichapicha===
Baada ya kuhakikisha ya kwamba picha uliochagua ni halali kuingizwa katika wikipedia unahitaji kuipakiza ("upload").
Kabla ya kuipakiza utahifadhi picha kwenye kompyuta yako. Huwezi kuchukua picha kutoka intaneti moja kwa moja na kuipeleka wikipedia.
Line 99 ⟶ 98:
::#Kwenye nafasi ya muhtasari weka anwani asilia ya faili kwa mfano "Kutoka <nowiki>http://en.wikipedia.org/wiki/Image:Coat_of_arms_of_Tanzania.svg</nowiki>. Kama umeswahilisha ramani n.k. ongeza "imebadilishwa na user: JINA LAKO". Kama ni picha uliopiga mwenyewe taja tarehe na mahali pa picha, mengine soma juu!
::#Ingiza kiungo kwa jamii ya picha katika mstari mpya kwenye nafasi ya muhtasari. Chagua jamii husika ukianza kuchungulia kwenye '''<nowiki>[[Jamii:Picha za Wikipedia]]</nowiki>'''. Weka jina la jamii katika mabano mraba jinsi ilivyo mbele kwa Jamii:Picha za Wikipedia.
::#Mwishowe bofya "PakisPakia faili".
 
[[Jamii:Msaada]]