Shehena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Shehena''' ''(kwa [[Kiingereza]]: freight, cargo)'' inamaanisha [[mzigo]] wa [[bidhaa]] ambazo zinasafirishwa, mara nyingi kwa kutumia [[chombo cha usafiri]] kama vile [[lori]], [[treni]], [[meli]] au [[eropleni]]<ref>{{cite EB1911|wstitle=Cargo}}</ref><ref>{{Cite journal|last=McLeod|first=Sam|last2=Schapper|first2=Jake H.M.|last3=Curtis|first3=Carey|last4=Graham|first4=Giles|date=2019|title=Conceptualizing freight generation for transport and land use planning: A review and synthesis of the literature|journal=Transport Policy|language=en|volume=74|pages=24–34|doi=10.1016/j.tranpol.2018.11.007}}</ref>. [[Historia|Kihistoria]], na hadi leo katika maeneo yasiyo na njia nzuri, shehena zilisafirishwa pia kwa njia ya [[wapagazi]] na [[wanyama]] kama vile [[punda]], [[farasi]] au [[ngamia]].
 
Vyombo vya usafiri wa shehena kwa kawaida hutengenezwa kwa namna ya pekee inayolingana na shehena yake. Tangu kuenea kwa [[kontena]] zenye [[Kipimo sanifu cha kimataifa|vipimo sanifu]], vyombo vya usafiri vya shehena vimesanifishwa pia ili kulingana na vipimo vile, hasa malori, mabehewa ya reli na meli.
 
Shehena hupatikana kwa [[Umbo|maumbo]] tofauti, kama vile ya [[gesi]] au [[kiowevu]] inayofungwa katika [[tangi|matangi]], na kubebwa kwa chombo cha tangi. Bidhaa zinazofungwa katika vifurushi kwa kawaida huwekwa ndani ya kontena; bidhaa za pekee kama [[mashine]] kubwa, [[bomba|mabomba]], [[Gogo|magogo]] ya [[miti]] au zisizofunguka kama [[mchanga]] na [[kokoto]] huhitaji vyombo vyake.