Chuo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d #WPWP,#WPWPTZ
d #WPWP,#WPWPTZ
Mstari 19:
==Wanafunzi na walimu==
Watu wanaoingia katika chuo kwa shabaha ya kujifunza huitwa wanafunzi, pia wanachuo au wanazuo(ni). Wale wanaotoa elimu huitwa [[walimu]], kwenye ngazi za juu zaidi wanaweza kuitwa pia [[profesa]] au wakufunzi.
 
==Vyuo nchini Tanzaniɑ==
Nchini Tanzania vyuo huratibiwa na tume ya vyuo vikuu nchini humo inayoitwa TCU (Tanzania commission for university).<ref>https://www.tcu.go.tz</ref> Tume ya vyuo vikuu Tanzania imeonyesha orodha ya vyuo nchini Tanzania kwamba mpaka mnamo waka 2019 Tanzania ilikua tayari na vyuo zaidi ya hamsini (50), Orodha ya vyuo vilivo idhinishwa ta tume ya vyuo vikuu nchini Tanzania [https://www.tcu.go.tz/sites/default/files/UNIVERSITY%20INSTITUTIONS%20IN%20TZ%20AS%20OF%2017.4.2019.pdf hapa].
 
==Marejeo==