Burgas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+Burgas-Collage_D.jpg #WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Burgas-Collage_D.jpg|thumbnail|right|200px|Mji wa Burgas]]
'''Burgas''' (kwa [[Kibulgaria]]: Бургас na hutamkwa burfas, wakati mwingine huandikwa Bourgas) ni [[mji]] wa pili mkubwa zaidi kwenye [[pwani]] ya [[Bahari Nyeusi]] na ni mji wa nne kwa ukubwa huko [[Bulgaria]] baada ya [[Sofia]], [[Plovdiv]], na [[Varna]].