Papa Silverio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Silverius.jpg|thumb|right|250px|Mt. Silveri.]]
'''Papa Silverio''' alikuwa [[papaPapa]] kuanzia [[tarehe]] [[8 Juni]] [[536]] hadi [[Mwezi (wakati)|mwezi]] [[Machi]] [[537]].

Alimfuata [[Papa Agapeto I]] akafuatwa na [[Papa Vigilio]].
 
Alizaliwa na [[Papa Hormisdas]] katika [[ndoa]] yake kabla ya kupata [[upadrisho]].
 
Aliondoshwa [[Madaraka|madarakani]] kwa [[nguvu]] ya [[Theodosia wa Bizanti|Theodosia]], [[mke]] wa [[Kaisari]] wa [[Bizanti]], aliyempendelea Vigilio.
 
Silverio alifungwa na kufarikikupelekwa uhamishoni katika [[kisiwa]] cha [[Palmarola]] alipofariki tarehe [[20 Juni]] [[537]].
 
Angalau tangu [[karne ya 11]] ameheshimiwa kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]].

[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[20 Juni]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Line 15 ⟶ 19:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Marejeo==
Line 21 ⟶ 28:
== Viungo vya nje ==
*[http://www.newadvent.org/cathen/13793a.htm Kuhusu Papa Silverio katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki]
 
{{mbegu-Papa}}
{{Mapapa}}
{{mbegu-Papa}}
 
{{DEFAULTSORT:Silverio}}
[[Jamii:Papa]]
[[Jamii:Waliozaliwa karne ya 5]]
[[Jamii:Waliofariki 537]]
[[Jamii:Wafiadini Wakatoliki]]
[[Jamii:Watakatifu wa Italia]]