Kiongozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+John_Magufuli_2015.png #WPWP #WPWPTZ
d #WPWP,#WPWPTZ
Mstari 15:
 
==Kiongozi katika Biblia==
Katika [[Biblia]] kiongozi ni mtu ambaye humwakilisha [[Mungu]] katika kuongoza watu wake hapa [[duniani]].<ref>https://www.vaticannews.va/sw/church/news/2018-07/uongozi-wa-kanisa-ni-huduma-ya-neno-upendo-na-sakramenti.html</ref> Hivyo anapaswa kukumbuka kwamba ameshirikishwa [[mamlaka]] ya juu na kwamba atapaswa kuhukumiwa kwa namna alivyoitumia.
 
[[Yesu]] alisema kwa kawaida watawala hutumia mabavu na hata hivyo hupenda kuitwa wafadhili.
 
{{reflist}}
 
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Siasa]]