Har Khorana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+image #WPWPTR #WPWP
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Har Gobind Khorana.jpg|thumb|right|200px|Har Gobind Khorana ]]
 
'''Har Gobind Khorana''' ([[9 Januari]], [[1922]] - [[9 Novemba]], [[2011]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Uhindi]]. Baadaye alihamia [[Marekani]]. Pia alifanya kazi nchini mbalimbali kama [[Uingereza]], [[Uswisi]] na [[Kanada]]. Hasa alichunguza [[usanisi]] wa [[protini]] ndani ya mwili wa binadamu. Mwaka wa [[1968]], pamoja na [[Robert Holley]] na [[Marshall Nirenberg]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.