Dini ya Musambwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
+Shrine_of_Elijah_Masinde.jpg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[picha:Shrine_of_Elijah_Masinde.jpg|thumbnail|right|200px|Mahali patakatifu pa Elijah Masinde]]
'''Dini ya Musambwa''' ni jumuiya ya kidini iliyoanzishwa na [[Elijah Masinde]] kati ya Wabukusu wa [[Kenya]] ya magharibi mnamo mwaka [[1943]]. "Musambwa" ni neno la Kibukusu chenye maana ya "roho, pepo".