Audiolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+Audiological_Exam.jpg #WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[picha:Audiological_Exam.jpg|thumbnail|right|200px|Mazoezi ya Audiolojia]]
'''Audiolojia''' (kutoka [[Kilatini]]: audire, "kusikia"; na [[Kigiriki]]: λόγος, logos, "elimu") ni kiwanja cha [[sayansi]] kinachohusika na masomo kuhusu [[sikio]], kusikia na [[magonjwa]] ya masikio.