Kipimajoto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kipimajoto''' (pia: '''themomita''', kutokakutokana na [[KiiingerezaKiingereza]] ''thermometer'') ni [[kifaa]] cha kupima [[jotoridi]].
 
Aina ya kipimajoto kinachotumika zaidi ni ile iliyotengenezwa kwa kuweka [[zebaki]] (''mercury'') katika [[glasi|gilasi]]. Aina hiyo imeundwa na gilasi ya [[kapilari]] ambayo katika [[ncha]] moja ina [[tunguu]] iliyojazwa [[zebaki]] na ncha ya upande mwingine imezibwa. Kifaa hufungwa pande zote ili kutunza umbwe ndani ya kapilari. Jotoridi hupimwa kwa kusoma kiasi cha zebaki iliyopanda katika kapilari kutokana na mabadiliko ya [[joto]] katika [[vipimo]] vilivyoandikwa kwenye kapilari. Zebaki inatumika sana katika kupima [[jotoridi]].
Mstari 33:
Vipimajoto vinaweza kutengenezwa ili viweze kurekodi viwango vya juu na vya chini vya joto kufikiwa. [[Kipimajoto cha hospitali]] cha zebaki (''mercury-in-glass clinical thermometer''), kwa mfano ni kifaa cha kupima kiwango cha juu cha jotoridi ambako kuna kibano katika gilasi ya kapilari kati ya tunguu na sehemu ya chini ya kapilari ambacho huruhusu zebaki kutanuka kadiri jotoridi linavyoongezeka, lakini kuizuia isishuke mpaka itakapolazimishwa kushuka kwa kutikiswa kwa nguvu. Viwango vya juu vya jotoridi wakati wa ufanyaji kazi wa vifaa mbalimbali huweza pia kukadiriwa kwa kutumia pigmenti fulani zinabadilika rangi zinapofikia jotoridi fulani.
 
==Usahihi wa Upimajiupimaji==
Upimaji sahihi wa jotoridi hutegemea uanzishwaji wa uwianosawa wa [[joto]] (''thermal equilibrium'') kati ya kifaa cha kupimia jotoridi na mazingira yake yayokizunguka. Hii ina maana, katika uwianosawa, hakuna mbadilishano wa [[joto]] kati ya kipimajoto na vitu inavyogusa au vitu vilivyo jirani. Hivyo kwa kipimajoto cha hospitali, kifaa inabidi kiweke kwa muda wa kutosha (zaidi ya dakika moja) ili kufikia uwianosawa na mwili ili kupata matokeo sahihi. Pia ni lazima iingizwe ndani zaidi na iwe na mgusano mzuri na mwili ili kupata jibu nzuri. Hali zote hizi huwa haziwezekani kufikiwa na kipimajoto kinachoingizwa [[mdomoni]], ambacho huwa kinaonyesha jotoridi dogo ulinganisha na lile linaoonyeshwa na [[kipimajoto cha puru]] (''rectal thermometer'').
 
Kipimajoto chochote kile huwa kinapima jotoridi lake chenyewe, ambalo linaweza lisiwiane na jotoridi hasa la kitu linalopima. Katika kupima [[jotoridi]] la hewa nje ya jengo, kwa mfano, kama kipimajoto moja itawekwa kivulini na nyingine katika [[jua]], kwa tofauti ya sentimita chache, majibu ya vipimojoto hivi yanaweza kuwa tofauti sana, ingawa jotoridi la [[hewa]] sawa. Kipimajoto katika [[kivuli]] kinaweza kupoteza joto kwa mnururisho kwa kuta za jengo na hivyo vipimo vikawa vidogo chini ya jotoridi halisi la hewa. Kwa upande mwingie kipimajoto kilichokatika [[jua]] kitasharabu joto la jua na kuonyesha kiwango kikubwa kuliko kile halisi cha hewa. Ili kuondoa makosa kama haya, upimaji sahihi wa jotoridi huitaji ukingaji wa kipimajoto kutoka katika vyanzo vya joto au baridi au kutoka joto linaloweza kusafiri kwa mnururisho, mpitisho au myuko.
 
==Tazama Piapia==
* [[Zebaki]]
* [[Joto]]
Mstari 48:
 
==Viungo vya Nje==
* [http://en.wikipedia.org/wiki/Thermometer Kipimajoto katika wikipediaWikipedia ya Kiingereza]
* [http://inventors.about.com/library/inventors/blthermometer.htm Nani aliunda kipimajoto?]
* [http://www.energyquest.ca.gov/how_it_works/thermometer.html Namna gani kipimajotkipimajoto kinavyofanya kazi]
 
[[Jamii:Fizikia]]