Tom Mboya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 10 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q733180 (translate me)
+Tom_Mboya_1962_(cropped).jpg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Tom_Mboya_1962_(cropped).jpg|thumbnail|right|280px|Tom Mboya mwaka 1962]]
 
'''Thomas Joseph Odhiambo Mboya''' ([[15 Agosti]], [[1930]] - [[5 Julai]], [[1969]]) alikuwa mwanasiasa maarufu [[Kenya]] wakati wa serikali ya Mzee [[Jomo Kenyatta]]. Yeye pia alianzisha chama cha [[Nairobi People's Congress Party]], chama ambacho kilichangia kukua kwa chama maarufu [[Kenya African National Union]] (KANU), alikuwa pia Waziri wa Mipango na Maendeleo ya Uchumi wakati wa kifo chake. Mboya  aliuawa tarehe 5 Julai, 1969 katika  mji mkuu wa Nairobi.