Tofauti kati ya marekesbisho "Wilaya ya Ubungo"

66 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
|pushpin_map_caption = Mahali pa Ubungo katika Tanzania
|settlement_type = Kata
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]] za
|subdivision_name = [[Tanzania]]
|subdivision_type1 = [[Mikoa ya Tanzania|Mkoa]]
'''Ubungo''' ni [[jina]] la [[wilaya]] mojawapo ya [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''16000'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dsm.pdf</ref>.
Ubungo inafahamika sana Tanzania kama [[kitovu]] kikuu cha [[basi|Mabasi]] yaelekeayo mikoani. pia ni sehemu ya pekee t[[tanzania]] ambayo ina barabara za juu
 
Ubungo inafahamika sana Tanzania kama [[kitovu]] kikuu cha [[basi|Mabasi]] yaelekeayo mikoani.
 
[[Kituo cha mabasi]] cha Ubungo kimeungana na baadhi ya vituo vikubwa vya miji mbalimbali ya Tanzania kama vile cha [[Arusha]], [[Moshi]], [[Morogoro]], [[Dodoma]], [[Mbeya]], [[Iringa]], [[Mtwara]], [[Lindi]], [[Singida]], [[Tanga]] na [[Mwanza]]; vilevile hadi [[Nairobi]], [[Lilongwe]], [[Lusaka]] na [[miji]] mingine kadhaa ya [[Afrika ya Mashariki]].
Anonymous user